Monday, June 29, 2015

Wamasai ni wasusi hodari

Wamaasai ni wasusi hodari Tz 26 Juni 2015 Imebadilishwa mwisho saa 09:48 GMT Ni sura ya Afrika mashariki kama ilivyozoeleka, ya Mmasaai akiwa mbugani na mifugo yake. Lakini sura hiyo imeanza kubadilika kutokana na kupungua kwa mvua na nyasi za malisho. Vijana wa Ki-Maasai wamelazimishwa kuhama kwao huko Serengeti na sasa wanapatikana jijini Dar es Salama kutafuta ajira. Tulanana Bohela ametuandalia taarifa hii. Maelezo finyu

No comments:

Post a Comment