Monday, June 29, 2015

Obama kuzomea wazi wazi

Obama amzomea mwanaharakati White House 26 Juni 2015 Imebadilishwa mwisho saa 16:18 GMT Rais Barack Obama alilazimika kumzima mwanaharakati aliyekatiza hotuba yake katika dhifa aliloandaa katika ikulu ya White House. Wageni walimshabikia Obama alipomsuta bwana huyo wakimpigia makofi kwa kuchukua msimamo. Hatimaye rais Obama alimuonya kuwa angeamrisha aondolewe iwapo hatatulia akisema ''hapa ni kwangu, ukienda kwa mtu sharti ufuate sheria za mwenyeji wako''

No comments:

Post a Comment