Monday, June 29, 2015

Uigereza kuboresha ulinzi

Uingereza inapanga kuimarisha ulinzi Calais 25 Juni 2015 Imebadilishwa mwisho saa 17:30 GMT Serikali ya Uingereza inapania kuweka mikakati ya kuimarisha idadi ya walinzi katika mpaka wake na Ufaransa ilikuzima ndoto za wahamiaji wanaotaka kuingia nchini Uingereza kwa kusimamisha malori ya kubeba mizigo

No comments:

Post a Comment