Wednesday, December 16, 2015

Waziri mkuu aliyopigwa ngumi

  Waziri mkuu wa Hispania alivyopigwa ngumi katikati ya kampeni, tukio la pili ndani ya wiki by Millard Ayo Siku zinahesabika toka Waziri mkuu wa Ukraine alipobebwa juujuu akiwa bungeni, aliyembeba alijifanya kama anampelekea ua alafu baada ya kufika akambeba juujuu kabla hajashambuliwa kwa kipigo na baadhi ya waliokuwemo bungeni, sasa December 16 2015 habari ya zamu ya Waziri mkuu wa Hispania. Waziri mkuu wa Hispania Mariano Rajoy alipigwa ngumi usoni na kijana ambaye alikua

No comments:

Post a Comment