Monday, July 18, 2016

WAZIRI MBARAWA AKAGUA MRADI WA BARABARA YA MBINGA-MBAMBABAY KM 66 NA BANDARI YA MBAMBABAY

WAZIRI MBARAWA AKAGUA MRADI WA BARABARA YA MBINGA-MBAMBABAY KM 66 NA BANDARI YA MBAMBABAY

1Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (wa pili kulia) akiongea jambo na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,Dkt. Binilith Mahenge (wa pili kushoto) wakati alipokagua uwanja wa Songea Mkoani Ruvuma.
2Muonekano wa uwanja wa ndege wa Songea Mkoa ni Ruvuma, ambao uko kwenye mradi wa upanuzi wa viwanja kumi na moja.
3Waziri wa Ujenzi, Uchuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (wa tano kushoto) akitoa maelekezo kwa Meneja wa kiwanja cha ndege cha Songea, Valentine Fasha (wan ne kulia) wakati alipokagua barabara ya kutua na kuruka ndege katika uwanja huo Mkoani Ruvuma.
4Muonekano wa Barabara ya Mbinga-Mbambabay KM 66 ambayo ujenzi wake kwa kiwango cha Lami unatarajiwa kuanza hivi karibuni. Kukamilika kwa barabara hiyo kutachochea uchumi wa Mkoa wa Ruvuma kupitia bandari ya Mbambabay.
5Waziri wa Ujenzi, Uchuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa(kulia) akiteta Jambo na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma wakati alipomtembelea ofisini kwake.

No comments:

Post a Comment