Friday, April 15, 2016

MTU WA PWANI: Arsene Wenger ni tatizo zaidi ndani ya Arsenal

MTU WA PWANI: Arsene Wenger ni tatizo zaidi ndani ya Arsenal

Abel Charles_charlesabel24@gmail.com 


Posted  Ijumaa,Aprili15  2016  saa 15:13 PM
In Summary
HAKUNA kazi ngumu katika maisha ya mwanadamu kama kutabiri nini kitatokea siku zinazofuata. Kwa mujibu wa vitabu vya dini, mtu pekee aliyekuwa amejaliwa kipawa cha kubashiri mambo yajayo alikuwa ni Nabii Yusufu tena kwa uwezo wa Mungu.

No comments:

Post a Comment