Friday, April 15, 2016

ROHO NYEUPE: Simba imepewa haki yake, kisha inapokwa na walowezi

ROHO NYEUPE: Simba imepewa haki yake, kisha inapokwa na walowezi

Share Bookmark Print Email Rating
Gift  Macha 


Posted  Ijumaa,Aprili15  2016  saa 15:19 PM
In Summary
SIMBA imeondoshwa kwenye michuano ya Kombe la FA. Ni majonzi makubwa kwa kila Mwanasimba. Njia hii ilionekana kuwa nyepesi zaidi kwa timu hiyo kuweza kufuzu katika mashindano ya kimataifa, lakini imechukuliwa na Waarabu wa Tanga. Inasikitisha na kuhuzunisha kwa pamoja.

No comments:

Post a Comment