Saturday, April 16, 2016

VYETI ,VYETI, VYETI ....

VYETI ,VYETI, VYETI .....Vyeti vimeokotwa  , vyeti vya  FADHILI  MASAWE  MICHAEL  kidato cha nne  amemalizia shule ya secondary  GG .SHULUA .iliyoko box 60138.Dar es salam,
Kidato cha sita amesomea  shule ya MWENGE  sec, School baada ya hapo kajiunga na masfunzoo ya JKT kwa muujibu, kikosi cha  BULOMBOLA  .tafahari unaombwa kama unamfaham  au unaweza mfikishia taarifa kuwa vyeti yake vimekotwa viko mahali salama  tuwasiliane kwa no;0755-233755        AU.    0784900291 sambaza ujumbe huu kila group   yawezekana taarifa hizi zikamfikia  ahsanteni sana.👏

No comments:

Post a Comment