Monday, July 11, 2016

Korea kaskazini kuchukua hatua

Korea kaskazini kuchukua hatua


Image copyrightAFP
Korea kaskazini imesema itachukua hatua dhidi ya kutumwa kwa mfumo wa hali ya juu kuzuia makombora angani Korea kusini.
Jeshi la Korea kaskazini limesema mfumo huo wa hali ya juu unatoka Marekani.
Limesema litachukua hatua punde litakapo fahamu wakati na sehemu ambapo makombora hayo yatatumwa.
Maafisa Korea kusini watadhibitisha katika wiki kadhaa sehemu ambapo makombora hayo yatatumwa.

No comments:

Post a Comment