Saturday, June 11, 2016

MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI DODOMA....

MATUKIO KATIKA PICHA KUTOKA BUNGENI DODOMA....

D1Wabunge wa CCM Mhe. Asha Abdallah Juma (Viti Maalum) na Emmanuel Mwakasaka (Tabora Mjini) wakiingia katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kuanza vipindi vya asubuhi vya Biunge hilo leo vinavyoendelea mjini Dodoma. Nyuma ni Mbunge wa Vunjo, Mhe. James Mbatia (NCCR Mageuzi).
D3Wabunge wa CCM, Mhe. Hawa Mchafu Viti (Maalum) na Joseph Madaba (Madaba) wakiingia katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kuanza vipindi vya asubuhi vya Biunge hilo leo vinavyoendelea mjini Dodoma.
D4Mbunge wa Hanang’ Mhe. Mary Nagu akiingia katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kuanza vipindi vya asubuhi vya Biunge hilo leo vinavyoendelea mjini Dodoma.
D5Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Angelina Mabulla na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani wakiingia katika katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma kuanza vipindi vya asubuhi vya Biunge hilo leo vinavyoendelea mjini Dodoma.
D6Wanafunzi wa shule ya Msingi ya Kawekamo Montesori kutoka Jijini Mwanza wakifuatilia mjadala wa vikao vya Bunge vinavyoendelea mjini Dodoma.
D7Mbunge wa Chemba (CCM) (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Martha Mlata wakifurahia jambo mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa asubuhi wa kikao cha Bunge linaloendelea mjini Dodoma.
D8

No comments:

Post a Comment