HOTELI ILIYO JENGWA MLIMANI NA KULIPIWA KILA KITU.
Hiki Chumba cha Hoteli kiko juujuu Mlimani, unalipiwa kila kitu utakubali kulala?
Mwonekano wa juu ya chumba, kwa chini unaona mto, mashamba na barabara kwa mbalii..
Wako watu ambao kupanda jengo la ghorofa moja tu ni tatizo, unadhani atakubali kirahisi kabisa kulala hapa juujuu?
Labda ukiwa hapo utaenjoy zaidi kuona
mazingira poa ya nje, Milima iliyozunguka, mto na nyumba za watu..
lakini swali ni hili moja; utakuwa na amani hata ya kupata usingizi?
Karibu sana ndani ya PERU mtu
wangu, hiki ni chumba cha Hoteli ya Natural Vive, vyumba viko vingi juu
ya Mlima kwenye urefu kama wa futi 400 hivi toka chini, ukilipia Dola
yako 1,000 ambayo ni kama Tshs. Milioni 2 zinatosha kukabidhiwa funguo
ya chumba chako na utaenjoy siku nzima kuwa hapo juu.
Karibu sana ndani ya Peru mtu wangu, hiki ni chumba cha Hoteli ya Natural Vive, vyumba viko vingi juu ya Mlima kwenye urefu kama wa futi 400 hivi toka chini, ukilipia Dola yako 1,000 ambayo ni kama Tshs. Milioni 2 zinatosha kukabidhiwa funguo ya chumba chako na utaenjoy siku nzima kuwa hapo juu. 2015-07-12T070439Z_912071196_GF10000156697_RTRMADP_3_MEXICO-GUZMAN - Copy Hapa ni mwonekano wa ndani ya chumba. scary-see-through-suspended-pod-hotel-peru-sacred-valley-81
Hapa ni mwonekano wa ndani ya chumba.
\
KARIBU TENA KATIKA BLOG HII MPYA ILI KUPATA HABARI MBALIMBALI ZA KILA MAHALI.
No comments:
Post a Comment