NASA wapata taarifa za Sayari ya Pluto
- Saa 4 zilizopita
Wana
sayansi wa NASA kutoka Marekani wanasema kuwa majaribio yao ya kurusha
chombo kwenda katika sayari ya Pluto yamekuwa na mafanikio makubwa.
Chombo
hicho kimefanikiwa kutuma taarifa katika kituo cha utafiti huo cha
Maryland zilizochukua takribani saa nne na nusu hadi kufika duniani na
kupokelewa na antenna NASA.Saa chache zijazo wanasayansi hawa wa NASA wameeleza kuwa wanatarajia kupata mfululizo wa taariza zaidi na picha kutoka sayari hiyo ya Pluto ambazo zitatoa uhalisia wa undani wa sayari hiyo ya Pluto.
No comments:
Post a Comment