Monday, February 15, 2016

PATA GARI KALI KILICHO TOKA MWAKA 2016.......

MOJA YA MAGARI MAPYA YATAKAYO INGIA SOKONI 2016:Tazama picha za muonekano wake Najua kuna watu ni wapenzi wa magari mazuri mazuri, kwa sababu kila siku tunaona kuna aina mpya ya magari ambayo yanatambulishwa Duniani, nimeipata hii ya leoleo nikaona hata nisiikawize, na wewe mtu wa nguvu kama ungependa kujua  kitu kipya kutoka Lexusbasi uipate hii. Muonekano wa siti ya dereva na abiria wake wa mbele. Nyuma ya siti ya dereva na abiria wa mbele kuna hizi siti… watu wawili wanakaa hapo poa kabisa. Magari ya Lexus hata kwa hapa TZ yana watumiaji wengi sana, unajua wanajipangaje 2016 hawa jamaa? Hizi ni pichaz ambazo zimegusa headlines mitandaoni na mimi zimenivutia pia.. unaweza kuona pichaz nyingine za Lexus LX570 hapa, nje mpaka ndani. Nyuma ya siti kuna TV kubwa kabisa. Siti zina uwezo wa kujikunja pia. Lexus LX570 muonekano wa mbele kwenye ubora wake kabisa yani. 0

Clexus-lx-570_100521981_mlexus-lx-570_100521961_m2016-lexus-lx-570_100522026_m2016-lexus-lx-570_100522028_mlexus-lx-570_100521952_m2016-lexus-lx-570_100522030_mlexus-lx-570_100521954_mlexus-lx-570_100521957_mlexus-lx-570_100521956_mlexus-lx-570_100521955_m2016-lexus-lx-570_100522027_mlexus-lx-570_100521964_mlexus-lx-570_100521953_mlexus-lx-570_100521963_mlexus-lx-570_100521973_mlexus-lx-570_100521967_mlexus-lx-570_100521975_mlexus-lx-570_100521958_m

No comments:

Post a Comment