Monday, February 22, 2016

Baada ya ushindi wa Yanga dhidi ya Simba hii ndio taarifa mpya kutoka Yanga iliyotolewa leo Feb 22

Baada ya ushindi wa goli 2-0 katika mchezo wa Ligi kuu, Feb 20,  dhidi ya klabu ya Simba,  Klabu ya Yanga imetoa taarifa mpya kuelekea mchezo wake wa FA Cup dhidi ya klabu ya JKT Mlale na mchezo wa klabu Bingwa Afrika dhidi ya CERCLE DE JOACHIM utakaochezwa Jumamosi ya February 27 uwanja wa Taifa DarJerry Muro.
http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2016/02/20160222_154840-1.jpg?resize=620%2C838

 

No comments:

Post a Comment