Wednesday, February 24, 2016

MKALI WA NDONDI THOMAS MASHALI KUTAFUTIWA MBABE PASAKA

 
 Bondia Salum Nassoro akipasha na kocha wake, Maneno Abdallah katika gym yao iliyopo Mazense Midizini.
  Promota wa mchezo huo, Haruna Musa katika picha ya pamoja na bondia, Salum Nassoro.
……………………………………………………………………………………………..

Kampuni ya Dippo Boxing Promotion ya jijini Dar inayoongozwa na promota, Haruna
Musa imeandaa pambano la Uzito wa Kati ‘Middle Weight’ kati ya bondia
Salum Nassoro wa Dar na Benson Mwakyembe wa Ruvuma mchezo utakaopigwa
Siku Kuu ya Pasaka, Machi 28 mwaka huu.
 Pambano hilo la kukata na shoka litapigwa kwenye uwanja wa Majimaji mkoani
Ruvuma ambapo kwa mujibu wa promota huyo alisema kuwa mshindi wa siku
hiyo atazichapa na bingwa wa Afrika  ‘WBF, Thomas Mashali.
 Mabondia hao ambao kila mmoja alitamba kumchapa mwenzake, waliwataka mashabiki
wa ndondi kujitokeza kwa wingi kushuhudia mchezo huo ili waone ladha ya

No comments:

Post a Comment