Wednesday, July 15, 2015

DC Paul Makonda alivyokutana na vijana wanaosaka ajira katika Viwanja vya Leaders Dar (Pichaz)

DC Paul Makonda alivyokutana na vijana wanaosaka ajira katika Viwanja vya Leaders Dar (Pichaz)


Screen Shot 2015-07-15 at 5.57.54 PM
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni DC Paul Makonda hii sio mara ya kwanza kuingia kwenye Headlines akizungumzia tatizo la ajira, ndiye aliyeianzisha Kinondoni Talent Search ambayo iliwakutanisha vijana wenye vipaji ili waoneshe uwezo wao na baadae vipaji hivyo wavitumie ili iwe njia ya kujiajiri.
Screen Shot 2015-07-15 at 5.58.01 PM
Zaidi ya vijana 1200 wamejitokeza leo kwenye viwanja vya Leaders ambapo DC Paul Makonda alitangaza kwamba anahitaji kukutana nao na kuangalia jinsi ambavyo wanaweza kuunganishwa na ajira kutokana na fani walizosomea.
Screen Shot 2015-07-15 at 5.58.26 PM
Moja ya vitu ambavyo Paul Makonda amevisisitiza ni kwamba vijana wanatakiwa kujitambua na hakuna ulazima kila mtu awe ameajiriwa ila kunaweza kufanyika mbinu nyingine za kujiajiri na kufanya biashara au ubunifu mwingine utakaowapatia.
Screen Shot 2015-07-15 at 5.58.10 PM
Mmoja ya vijana akiuliza swali.
Screen Shot 2015-07-15 at 5.58.17 PM
Screen Shot 2015-07-15 at 5.58.33 PM
DC Paul Makonda akizungumza na vijana waliojitokeza.
Screen Shot 2015-07-15 at 5.58.39 PM
Screen Shot 2015-07-15 at 5.58.46 PM
Screen Shot 2015-07-15 at 5.58.56 PM
Screen Shot 2015-07-15 at 5.59.04 PM
Screen Shot 2015-07-15 at 5.59.14 PM

No comments:

Post a Comment