Sunday, July 12, 2015

Tangazo la nafasi za kazi zaidi ya 300 Leo toka (TRAB)

PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT
Ref. Na EA.7/96/01/H/57 9th July, 2015
VACANCIES ANNOUNCEMENT
On behalf of Tanzania Forest Services (TFS), The Tax
Revenue Appeals Board (TRAB), Tanzania Airport Authority
(TAA) Public Service Recruitment Secretariat invites
qualified Tanzanians to fill 513 vacant posts in the above
Public Institution.
1.0 THE TANZANIA FOREST SERVICES (TFS) AGENCY
Tanzania Forest Services (TFS) Agency as a semi-
autonomous Government Agency was established through
Government Notice No. 269 of 30th July 2010. TFS
establishment is supported by the Executive Agency Act
(Cap. 245) as amended in 2009, the National Forest and
Beekeeping Policies adopted in March 1998 and
administered through the Forest Act Cap 323 R.E of 2002)
and Beekeeping Act Cap 224 R.E of 2002 which provide the
legal framework for the management of forests and bee
resources.
TFS Headquarters is located in Dar es Salaam at Mpingo
House, Ivory Room premises along Nyerere Road. TFS
offices outside Dar es Salaam operate in seven zones as
follows: Eastern (Kibaha- Kongowe in Pwani Region),
Southern (Masasi Town in Mtwara Region) Southern
Highlands (Mbeya Municipal in Mbeya Region), Northern
(Same Town in Kilimanjaro Region) Western (Tabora
Municipal in Tabora Region), Lake (Mwanza Municipal in
Mwanza Region) and Central (Dodoma Municipal in Dodoma
Region).
The Headquarters is responsible for providing Zonal Offices
with technical and professional support, establishing
standards, systems and procedures for resources
management, utilization, capacity building, coordinating the
Agency‟s technical services, monitoring and evaluating the
performance of field operations. All operational matters of
the Agency are handled at the Zones, and that the
Headquarters deals with strategic management issues.
1.1 FOREST OFFICER II (100 POSTS)
He/she will be responsible for providing technical support
and enforce forest policies and legislations.
1.1.1 DUTY STATION: TFS ZONES/PLANTATIONS
1.1.2 REPORTING TO: ZONAL/PLANTATION MANAGER
1.1.3 DUTIES AND RESPONSIBILITIES
• Supervise planting and management of natural forests and
plantations
• Conduct research
• Enforce forest policies and legislation
• Build capacity of staff and stakeholders
• Conduct planning in forest and coordinate collection and
analysis of forest products statistics
1.1.4 QUALIFICATIONS AND EXPERIENCE
Bachelor degree in Forestry from a recognized institution of
higher learning. Must have computer knowledge, Ms- Office.
1.1.5 REMUNERATION
Attractive remuneration package in accordance with the
Institution‟s salary scale
1.2 FOREST ASSISTANT II (200 POSTS)
He/she will be responsible for providing technical support
and enforce forest policies and legislations.
1.2.1 DUTY STATION: TFS ZONES/PLANTATIONS
1.2.2 REPORTING TO: ZONAL/PLANTATION MANAGER
1.2.3 DUTIES AND RESPONSIBILITIES
• Collect and good keeping of seeds
• Tend to tree seedlings and management of tree nurseries
• Manage trees and forests
• Undertake patrols within the forests
• Inspect and grade forest products
• Carry out mensurationin forest
• Carry out forest extension services
• Carry out any other duties as assigned from time to time
by Supervisor.
1.2.4 QUALIFICATIONS AND EXPERIENCE
Form IV or VI with Certificate or Diploma in Forestry from a
recognized institution. Computer knowledge will be an added
advantage.
1.2.5 REMUNERATION
Attractive remuneration package in accordance with the
Institution‟s salary scale
1.3 BEEKEEPING OFFICER II (50 POSTS)
1.3.1 DUTY STATION: TFS ZONES/PLANTATIONS
1.3.2 REPORTING TO: ZONAL/PLANTATION MANAGER
1.3.3 DUTIES AND RESPONSIBILITIES
• Supervise establishment of bee reserves and apiaries
• Conduct research
• Implement beekeeping policies and enforce legislation
• Build capacity of staff and stakeholders
• Conduct planning in beekeeping and coordinate collection
and analysis of bee products statistics
• Plan and ensure quality of beekeeping products
• Participate in setting standards of bee products
• Carry out any other duties as assigned form time to time
by Supervisor
1.3.4 QUALIFICATIONS AND EXPERIENCE
Bachelor Degree in Science specialized in Beekeeping,
Botany or Zoology from recognized higher learning
institution. Computer knowledge will be an added advantage.
1.3.5 REMUNERATION
Attractive rmuneration package in accordance with the
Institution‟s salary scale
1.4 BEEKEEPING ASSISTANT II (80 POSTS)
1.4.1 DUTY STATION: TFS ZONES/PLANTATIONS
1.4.2 REPORTING TO: ZONAL/PLANTATION MANAGER
1.4.3 DUTIES AND RESPONSIBILITIES
• Assume responsibility for management of bee reserves
and apiaries
• Collect beekeeping statistics
• Keep records on beekeeping research work
• Carry out forest extension services
• Manage bee colonies
• Undertake patrols within the forests/bee reserve and
apiaries
• Carry out any other duties as assigned from time to time
by Supervisor.
1.4.4 QUALIFICATIONS AND EXPERIENCE
Candidate must have IV or VI with Certificate or diploma in
Beekeeping from a recognized institution. Computer
knowledge will be an added advantage.
1.4.5 REMUNERATION
Attractive remuneration package in accordance with the
Institution‟s salary scale
1.5 COMPUTER SYSTEM ANALYST II (2 POSTS)
1.5.1 DUTY STATION: TFS HEADQUARTER
1.5.2 REPORTING TO: ICT MANAGER
1.5.3 DUTIES AND RESPONSIBILITIES
• Design computer systems charts and to provide the
necessary systems documentation.
• Assist users in systems analysis and design.
• Prepare systems for chart flows of information.
• Undertake routine maintenance of ICT equipment.
• Develop websites and social media pages
1.5.4 QUALIFICATIONS AND EXPERIENCE
Bachelor degree in ICT related subjects or equivalent
qualification from a recognized institution with at least three
years working experience from a reputable organization.
1.5.5 REMUNERATION
Attractive remuneration package in accordance with the
Institution‟s salary scale
1.6 PERSONAL SECRETARY III (6 POSTS)
1.6.1 DUTY STATION: TFS ZONES/PLANTATIONS
1.6.2 REPORTING TO: ZONAL/PLANTATION MANAGER
1.6.3 DUTIES AND RESPONSIBILITIES
• Type and print official documents
• Keep and maintain typewriters, computer and accessories
• Carry out office management duties
• Handle incoming and outgoing files and mails
• Keep records of files movement register in his/her office
and other office document
• Keep diaries of events and scheduling appointments
• Attend visitors with courtesy
• Perform any other duties as may be assigned by
supervisor.
1.6.4 QUALIFICATIONS AND EXPERIENCE
Form IV with Certificate in secretarial course from
recognized institution with typing speed 80 W.P.M and office
practice stage III and Computer proficiency in word
processing and spread sheet, e-mail, internet and publisher.
1.6.5 REMUNERATION
Attractive remuneration package in accordance with the
Institution‟s salary scale
1.7 ASSISTANT ACCOUNTANT II (19 POSTS)
1.7.1 DUTY STATION: TFS ZONES/PLANTATIONS
1.7.2 REPORTING TO: ZONAL/PLANTATION MANAGER
1.7.3 DUTIES AND RESPONSIBILITIES
• Assist in the preparation of various financial statements.
• Keep financial register.
• Prepare bank reconciliation statements
• Prepare payment vouchers and cheques and post them in
vote books.
• Prepare credit and loss accounts
1.7.4 QUALIFICATIONS AND EXPERIENCE.
Holder of NBAA Intermediate Stage Accounting from
recognized institution. Accounting Packages.
Modules C or Diploma in Must have basic knowledge of
1.7.5 REMUNERATION
Attractive remuneration package in accordance with the
Institution‟s salary
Scale
1.8 ECONOMIST II (2 POSTS)
1.8.1 DUTY STATION: TFS HEADQUARTER
1.8.2 REPORTING TO: MANAGER PLANNING AND
COORDINATION
1.8.3 DUTIES AND RESPONSIBILITIES
• Collect data and statistics for economic analysis
• Analyze economic data and statistics
• Participate the preparation plans (Development, Strategic,
Business, investment, Action plans)
• Prepare implementation reports
• Participate in the preparation of budgets
• Conduct monitoring and analyze performance of planned
activities
1.8.4 QUALIFICATIONS AND EXPERIENCE
Bachelor Degree in either Economics, Planning or equivalent
qualification from a recognized institution. Background of
Forestry/Beekeeping knowledge is an added advantage.
Must have basic computer knowledge.
1.8.5 REMUNERATION
Attractive remuneration package in accordance with the
Institution‟s salary scale
1.9 DRIVER II- (40 POSTS)
1.9.1 DUTY STATION: TFS ZONES/PLANTATIONS
1.9.2 REPORTING TO: ZONAL/PLANTATION MANAGER
1.9.3 DUTIES AND RESPONSIBILITIES
• Drive the Agency‟s vehicles.
• Maintain vehicle logbook and movement records
• Maintain smooth running of vehicles
• Make simple repair of the vehicles
• Maintain vehicle cleanliness and service schedule
1.9.4 QUALIFICATIONS AND EXPERIENCE
Form four with passes in three subjects including English.
Candidate should has Class *C1 and E* driving license and
Trade Test Grade II certificate in Mechanics from a
recognized Institution. Must have a three years clean driving
record.
1.9.5 REMUNERATION
Attractive remuneration package in accordance with the
Institution‟s salary scale
2.0 THE TAX REVENUE APPEALS BOARD (TRAB)
The Tax Revenue Appeals Board is a quasi-judicial
institution, established under Section 4 of the Tax Revenue
Appeals Act. No. 15 of 2000. The core objective of the Tax
Revenue Appeals Board is that of efficient, effective and
impartial resolution of tax disputes arising from revenue
laws administered by the Tanzania Revenue Authority (TRA).
The Board invites applications from suitably qualified
Tanzania citizens to fill the following vacant position.
2.1 RECORD MANAGEMENT ASSISTANT II- (1 POSTS)
2.1.1 DUTIES AND RESPONSIBILITIES
• Ensure that the Registry is run smoothly and efficiently.
• Ensure that there is a proper filling system in place.
• Ensure that there is proper control of files and their
movement.
• Responsible for dispatch of relevant documents to parties
in tax disputes as well as other interested parties.
• keep records of appeals and Applications filed with the
Board, and
• Any other duties assigned by the supervisor.
2.1.2 QUALIFICATIONS AND EXPERIENCE
Possess an Ordinary Diploma in Law obtained from a
recognized Institution. Be Computer Literate.
REMUNERATION:
Attractive remuneration package in accordance with the
Institution‟s salary
Scale TRABS 3.
3.0 TANZANIA AIRPORTS AUTHORITY (TAA)
Tanzania Airports Authority (TAA) is a Government
Executive Agency established to operate, manage, maintain
and develop Government owned airports with a
commercially oriented Management style. As Part of
implementing its Organizational Structure, TAA hereby
invites applications from suitably qualified, creative and
results driven candidates to fill the following vacant posts.
3.1 DRIVERS - 2 POSTS
3.1.1 WORK STATIONS
Tabora airport and Julius Nyerere International Airport.
3.1.2 DUTIES AND RESPONSIBILITIES
• Driving cars and trucks as well as tractors and machines.
• Maintaining vehicles logbook and all accident records
pertaining to assigned vehicle.
• Transporting parcels from head office to other offices.
• Ensuring that assigned vehicles is in good condition.
• Carrying out any other related duties as may be assigned
by Supervisor.
3.1.3 QUALIFICATIONS AND EXPERIENCE
Holder of Secondary School Certificate with passes in
English, and who holds a class “C” driving license. The
candidate should have undergone training and attained
„trade test‟ Grade III (mechanics) or Advanced Drivers
course forVIP (Grade I or II) from National Institute of
Transport (NIT).
3.1.4 REMUNERATION
Attractive remuneration package in accordance with the
Institution‟s salary scale
NB: GENERAL CONDITIONS
i. All applicants must be Citizens of Tanzania and not above
45 years old, however, should also observe the age limit for
each position where indicated.
ii. Applicants must attach an up-to-date current Curriculum
Vitae (CV) having reliable contact, postal address, e-mail
and telephone numbers.
iii. Applicants should apply on the strength of the
information given in this advertisement.
iv. The title of the position and institution applied for should
be written in the subject of the application letter and marked
on the envelope; short of which will make the application
invalid.
v. Applicants must attach their detailed relevant certified
copies of academic certificates:
- Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/
Certificates.
- Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma
transcripts.
- Form IV and Form VI National Examination Certificates.
- Computer Certificate
- Professional certificates from respective boards
- One recent passport size picture and birth certificate.
vi. FORM IV AND FORM VI RESULTS SLIPS ARE STRICTLY
NOT ACCEPTED
vii. Testimonials, Partial transcripts and results slips will not
be accepted.
viii. Presentation of forged academic certificates and other
information in the CV will necessitate to legal action
ix. Applicants for senior positions currently employed in the
public service should route their application letters through
their respective employers.
x. Applicants for entry levels currently employed in the Public
Service should not apply, they have to adhere to
Government Circular Na. CAC. 45/257/01/D/140 dated 30th
November, 2010.
xi. Applicants who have/were retired from the Public Service
for whatever reason should not apply.
xii. Applicants should indicate three reputable referees with
their reliable contacts.
xiii. Certificates from foreign examination bodies for ordinary
or advanced level education should be certified by The
National Examination Council of Tanzania (NECTA)
xiv. Certificates from foreign Universities should be verified
by The Tanzania Commission for Universities (TCU)
xv.Deadline for application is 24th July 2015
xvi. Applicants with special needs/case (disability) are
supposed to indicate
xvii. Women are highly encouraged to apply
xviii. Only short listed candidates will be informed on a date
for interview
xix. Application letters should be written in Swahili or
English.
All application should be sent through Recruitment Portal
with the following address.
http://portal.ajira.go.tz/
(This address can be found also in Public Service
Recruitment Secretariat Website ‘Recruitment Portal’)
NB; Waombaji kazi wote mnatahadharishwa kujiepusha na
matapeli wanaojitambulisha kama watumishi wa Sekretarieti
ya ajira kuomba Rushwa kwa baadhi ya waombaji kazi ili
kuwapangia vituo vya kazi.
Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo
ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa
Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na
Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa
Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa
jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika
Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma
anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa na uwezo
wa kujaza nafasi za kazi 599 kwa ajili ya Katibu mkuu Wizara
ya maliasili na Utalii kama zilivyorodheshwa katika tangazo
hili.
NB: MASHARITI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.
i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri
usiozidi miaka 45
ii. Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa.
iii. Waombaji ambao tayari ni watumishi wa Umma na
wamejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti na
walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi
kwa waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.
iv. Nafasi ya kazi inayoombwa iandikwe juu ya bahasha,
kutozingatiwa hili kutasababisha maombi ya kazi kuwa batili.
v. Waombaji waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza
(Detailed C.V) yenye anwani na namba za simu za kuaminika
pamoja na majina ya wadhamini (referees)
watatu wa kuaminika.
vi. Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo,
nakala za vyeti vya kidato cha nne na kidato cha sita kwa
wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya
kuhitimu mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi
husika. Viambatanisho hivyo vibanwe sawa sawa kuondoa
uwezekano wa kudondoka au kupotea.
- Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/
Certificates.
- Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI
- Computer Certificate
- Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from
respective boards)
- Picha moja “Passport size” ya hivi karibuni iandikwe jina
kwa nyuma.
vii. Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of
results”, hati matokeo za kidato cha nne na sita (FORM IV
AND FORM VI RESULTS SLIPS)
HAVITAKUBALIWA.
viii. Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti
vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU
na NECTA).
ix. Waombaji waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma
hawaruhusiwi kuomba isipokuwa kama wanakibali cha
Katibu Mkuu Kiongozi.
x. Waombaji kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za
kuingilia walioko katika Utumishi wa umma wasiombe na
wanatakiwa kuzingatia maelekezo yaliyo katika Waraka Na
CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba 2010.
xi. Uwasilishaji wa taarifa na sifa za kugushi wahusika
watachukuliwa hatua za kisheria.
xii. Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 24 Julai,
2015
xiii. Aidha, uwasilishaji wa barua kwa mkono katika ofisi za
Sekretarieti ya ajira HAURUHUSIWI.
xiv. Maombi yanaweza kuandikwa kwa Lugha ya Kiswahili au
Kiingereza na yatumwe kupitia posta kwa anuani ifuatayo.
Maombi yote ya kazi yatumwe kwenye mfumo wa
kielektroniki wa Ajira (Recruitment Portal) kupitia anuani
ifuatayo;
http://portal.ajira.go.tz/
(Anuani hii pia inapatikana kwenye tovuti ya Sektretarieti ya
ajira kwa kuingia sehemu iliyoandikwa ‘Recruitment Portal’)
MUHIMU; Waombaji kazi wote mnatahadharishwa
kujiepusha na matapeli wanaojitambulisha kama watumishi
wa Sekretarieti ya ajira kuomba Rushwa kwa baadhi ya
waombaji kazi ili kuwapangia vituo vya kazi.
1.0 AFISA WANYAMAPORI DARAJA LA II - NAFASI- 111
Nafasi hizi ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na
Utalii.
1.1 MAJUKUMU YA KAZI
• Kutekeleza kazi za ushirikishaji wadau katika uhifadhi
• Kudhibiti utoaji wa leseni za biashara ya nyara na vibali vya
kukamata wanyama hai
• Kushiriki katika kusuluhisha migogoro ya matumizi ya
wanyamapori
• Kudhibiti matumizi haramu ya leseni za uwindaji na
kuhakikisha kufuatwa kwa maadili katika kutumia
wanyamapori
• Kudhibiti matumizi haramu ya wanyamapori
• Kufuatilia utekelezaji wa miongozo mbalimbali ya uhifadhi
wanyamapori
• Kuhakikisha viwango vya kukamata wanyama hai kwa ajiri
ya biashara na ufugaji
• Kufanya kazi za kuzuia ujangili
• Kukusanya taarifa na takwimu za uhifadhi
• Kutekeleza kazi za uhifadhi katika Mapori ya Akiba
1.2 SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye Shahada ya Sayansi ya Wanyamapori kutoka
Chuo Kikuu kinachotambuliwa na serikali
1.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS D.
kwa mwezi.
2.0 MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA II – NAFASI 30
Nafasi hizi ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na
Utalii.
2.1 MAJUKUMU YA KAZI
• Kufanya doria ndani na nje ya maeneo ya hifadhi
• Kudhibiti vitendo vya ujangili nje na ndani ya hifadhi
• kusimamia uwindaji wa kitalii na utalii wa picha
• kulinda Nyara za Serikali
• Kusimamia usafirishaji wa wanyamapori na nyara nje na
ndani ya Nchi
• Kusimamia matumizi ya magari ya doria
• Kukagua wanyamapori kwenye mashamba na mazizi ya
wanyamapori na kutunza takwimu zao
• Kuratibu uingiaji wa wageni katika Mapori ya Akiba
• Kudhibiti moto katika hifadhi
• Kukusanya na kutunza vielelezo vya ushahidi na kutoa
ushahidi Mahakamani
• Kukusanya takwimu za wanyama na mimea kwenye hifadhi
• Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa zinazoendana na
taaluma yake
2.2 SIFA ZA MWOMBAJI
• Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV au kidato cha VI
wenye Stashahada ya Uhifadhi Wanyamapori (Diploma in
Wildlife Management) kutoka Chuo cha Usimamizi
Wanyamapori Mweka au Chuo kingine kinachotambuliwa na
Serikali.
2.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS C
kwa mwezi.
3.0 MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA III
(TECHNICIAN)– NAFASI 87
Nafasi hii ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na
Utalii.
1.1 MAJUKUMU YA KAZI
• Kufanya doria ndani na nje ya maeneo ya hifadhi
• Kudhibiti vitendo vya ujangili nje na ndani ya hifadhi
• Kusimamia shughuli za uwindaji wa kitalii na utalii wa
picha
• Kulinda binadamu na mali zake dhidi ya Wanyamapori
• Kukusanya na kulinda Nyara za Serikali
• Kufanya usafi na ulinzi wa kambi
• Kusimamia uingiaji na utokaji wa watu na mali zao kwenye
hifadhi
• Kukusanya na kutunza vielelezo vya ushahidi na kutoa
ushahidi Mahakamani
• Kukagua wanyamapori kwenye mashamba na mazizi ya
wanyamapori na kukusanya takwimu zao
• Kusimamia taratibu za kusafirisha wanyamapori hai na
nyara nje na ndani ya Nchi
• Kudhibiti wanyamapori waharibifu
• Kudhibiti moto kwenye hifadhi
• Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa zinazoendana na
taaluma yake
1.2 SIFA ZA MWOMBAJI
• Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV au kidato cha VI
wenye Astashahada ya Uhifadhi wa Wanyamapori
(Technician Certificate in Wildlife Management) kutoka Chuo
cha Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi au chuo kingine
kinachotambuliwa na Serikali.
1.3 MSHAHARA
• Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS
B2 kwa mwezi
4.0 MHIFADHI WANYAMAPORI DARAJA LA III (BASIC
TECHNICIAN)– NAFASI 346
Nafasi hii ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na
Utalii.
1.4 MAJUKUMU YA KAZI
• Kufanya doria ndani na nje ya maeneo ya hifadhi
• Kudhibiti vitendo vya ujangili nje na ndani ya hifadhi
• Kusimamia shughuli za uwindaji wa kitalii na utalii wa
picha
• Kulinda binadamu na mali zake dhidi ya Wanyamapori
• Kukusanya na kulinda Nyara za Serikali
• Kufanya usafi na ulinzi wa kambi
• Kusimamia uingiaji na utokaji wa watu na mali zao kwenye
hifadhi
• Kukusanya na kutunza vielelezo vya ushahidi na kutoa
ushahidi Mahakamani
• Kukagua wanyamapori kwenye mashamba na mazizi ya
wanyamapori na kukusanya takwimu zao
• Kusimamia taratibu za kusafirisha wanyamapori hai na
nyara nje na ndani ya Nchi
• Kudhibiti wanyamapori waharibifu
• Kudhibiti moto kwenye hifadhi
• Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa zinazoendana na
taaluma yake
1.5 SIFA ZA MWOMBAJI
• Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV au kidato cha VI
wenye Astashahada ya awali ya Uhifadhi wa Wanyamapori
(Basic Technician Certificate in Wildlife Management) kutoka
Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori Pasiansi au chuo
kingine kinachotambuliwa na Serikali.
1.6 MSHAHARA
• Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS
B1 kwa mwezi
5.0 MSAIDIZI WA HESABU (ACCOUNTS ASSISTANT) -
NAFASI 10
1.7 MAJUKUMU YA KAZI
• Kuandika na kutunza “register” zinazohusu shughuli za
uhasibu.
• Kuandika hati za malipo na hati za mapokezi ya fedha.
• Kutunza majalada yenye kumbukumbu za hesabu
• Kupeleka barua/nyaraka za uhasibu Benki.
• Kufanya usuluhisho wa masurufu, karadha, Hesabu za
Benki na Amana.
1.8 SIFA ZA MWOMBAJI
• Kuajiriwa wenye Cheti cha ATEC level II au “Foundation
Level” kinachotolewa na
NBAA
1.9 MSHAHARA
Kwa kuzingatia viwango vya Serikali yaani ngazi ya
Mshahara TGS.B kwa mwezi
6.0 AFISA UTALII DARAJA LA II - NAFASI 15
Nafasi hii ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na
Utalii
6.1 MAJUKUMU YA KAZI
• Kukusanya taarifa za maeneo mapya yenye vivutio vya
utalii kwa kushirikiana na wadau wote
• Kutoa leseni za utalii kwa mahoteli na wakala wa utalii
• Kukusanya na kuweka takwimu za watalii na safari za kitalii
• Kutafuta na kupanga nafasi za masomo ya utalii ndani na
nje ya nchi
• Kujibu malalamiko kutoka kwa watalii
• Kutoa ushauri wa kitaalamu kwa wadau katika uendeshaji
wa biashara ya utalii
• Kuandaa kaguzi mbalimbali za wakala wa utalii
• Kuchambua miradi ya wakala wa utalii na hoteli
• Kukagua hoteli, loji na migahawa
• Kujibu na kufuatilia malalamiko yanayotolewa na watalii
• Kutoa ushauri wa kitaalaam kwa wakala wa utalii
• Kukusanya takwimu za watalii kwenye sehemu/ vituo nchini
vya kuingilia/ kutoka kwa wageni
• Kutunza kumbukumbu za vitabu/ majalada ya maktaba ya
utalii
• Kutayarisha taarifa za kila mwezi ya takwimu ya watalii
walioingia nchini na mapato yaliyopatikana
• Kufanya tafiti ndogo “survey” kwenye hifadhi za Taifa na
maeneo
• Kufuatilia kwa karibu na kushirikiana na VETA juu ya
maendeleo ya vyuo vinavyotoa mafunzo ya utalii nchini
• Kuratibu miradi yote inayohusiana na utoaji wa mafunzo ya
utalii
• Kutayarisha ripoti ya robo mwaka, nusu mwaka na mwaka
mzima
• Kufuatilia kwa ukaribu maendeleo ya sekta kwa kufanya
savey
• Kutayarisha ripoti na kusambaza kwa wajumbe na kufuatilia
utekelezaji wa maazimio
• Kupitia miongozo inayohusu „ Tourism Facilitation
Committee‟
• Kuratibu shughuri za kubuni vivutio utalii na mienendo
mipya ya kuendeleza utalii utalii
• Kutayarisha na kuhakiki vivutio vya utalii nchini
• Kuitisha mikutano/ semina za uhamasishaji kuhusu
uendeshaji utalii
• Kushiriki katika kupitia ripoti za EIA kuhusu miradi ya utalii
• Kushirikiana na Mashirika? Taasisi mbalimbali za mazingira
katika shughuri zihusuzo utalii na mazingira
• Kukusanya rasilimali za uendeshaji katika vyanzo vya ndani
na nje
6.2 SIFA ZA MWOMBAJI
Kuajiriwa wenye Shahada/ Stashahada ya juu katika
mojawapo ya fani za Utalii, Hoteli, Uhusiano wa kimataifa,
Biashara (masoko) au Sheria (Commercial law) kutoka vyuo
vinavyotambuliwa na serikali
6.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia viwango vya Serikali ngazi ya Mshahara
TGS.D kwa mwezi.

No comments:

Post a Comment