Monday, July 13, 2015

Katibu muenezi wa chama cha ACT wazalendo lringa kuchukua fomu ya ubunge  leo

Katibu muenezi wa chama cha ACT wazalendo lringa kuchukua fomu ya ubunge  leo ili kupewa fimbo la kupeperusha bedera katika jimbo la iringa mjini.kijana huyo mchapakazi yupo tayari kukitumikia jimbo lake bila kujali tishio na maneno toka vyama kama ccm,chadema na umoja wa ukawa.
Kumbuka kelele za chura sikuzote ni furaha kwa ng'ombe ni maneno ya kijana huyo mwenye nguvu kubwa na uwezo mkubwa .tutawapa cv yake,na mali zake wiki ijayo.

1 comment: