Wednesday, July 15, 2015

Mkubwa Fella kasikika kuhusu dada anayedai kuitwa Dar na Dogo Aslay.


Mkubwa Fella kasikika kuhusu dada anayedai kuitwa Dar na Dogo Aslay.

Byroryamaendeleo
fella
Jana Soudy Brown kapiga stori na binti aliyedai kuwa Dogo Aslay alimwambia aje Dar ili wakutane na kuweza kumsaidia kupata kazi.
Leo Said fella kasikika na kusema hao ni matapeli waliotumia jina la Dogo Aslay na ni vyema watu wakawa makini na mitandao ya kijamii kwa kuwa watu wamekuwa wakitumia majina ya wasanii kufanya utapeli.

No comments:

Post a Comment