Tuesday, July 14, 2015

Mambo ni moto Nairobi mtu wangu, hizi ni dalili Rais Obama hayuko mbali… (Pichaz)

General News

Mambo ni moto Nairobi mtu wangu, hizi ni dalili Rais Obama hayuko mbali… (Pichaz)

By rorya maendeleo.
2015-07-12T070439Z_912071196_GF10000156697_RTRMADP_3_MEXICO-GUZMAN - Copy
Ndege kubwa ya Kijeshi ikiwa Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta, Nairobi Kenya.
Uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta umekuwa busy sana zaidi hata ya ambavyo ulikuwa siku za nyuma.. unaambiwa kila siku hakukosekani stori kutoka Nairobi Kenya kuhusu ugeni wa Rais Obama.
air1
Usalama kwanza, YES.. Marekani hawana utani kabisa na Usalama wa Rais wao, zinashuka ndege kila siku pamoja na makundi ya watu wa Usalama ili kuhakikisha mpaka Rais Obama anatua hali inakuwa shwari japo kumekuwa na mashambulio mengi sana yanayohusiana na matukio ya Ugaidi.
Imetua ndege kubwa ya Kijeshi na vifaa vingine vingi zaidi.
air2
Msafara wa gari zilizoshushwa kwenye ndege hiyo.
air3

No comments:

Post a Comment