Leo Profesa Sospeter Muhongo amechukua fomu,anagombea ubunge wa Musoma Vijijini.
Name:  muhongo.jpg
Views: 1429
Size:  47.5 KB

Prof. Muhongo akiwa ofisi za CCM Musoma mjini akichukua fomu wa Kuwania Ubunge.

Name:  Muhongoo .jpg
Views: 1407
Size:  47.5 KB


Amesema maneno HAYA: Leo nimechukua fomu, nagombea ubunge wa Musoma vijijini, bado nina dhamira ya dhati ya kuwatumikia watanzania. Tusikate tamaa.