Tuesday, July 14, 2015

Leo nimekuletea hii utazame barabara 10 hatari kwenye hii dunia! kosa moja tu la dereva….

Leo nimekuletea hii utazame barabara 10 hatari kwenye hii dunia! kosa moja tu la dereva….
By Roryamaendeleo
barabara 1Kuna sehemu za hatari sana duniani ambazo unaambiwa ukifanya kosa moja tu unajiweka kwenye uwezekano mkubwa wa kupoteza maisha, hatari hii inapatikana kwenye barabara ambazo zipo kwenye sehemu mbalimbali duniani.
br 3Kwa Tanzania kuna sehemu kama mlima Kitonga na Sekenke hizo ni baadhi tu ya sehemu tunazozijua ni hatari, huko kwenye nchi za wenzetu kuna barabara China Sichuan-Tibet ambayo inaua watu kila wakati mpaka takwimu zinaonyesha kwamba kati ya watu laki moja, watu elfu saba mia tano hupoteza maisha kwenye barabara hiyo.

br 2

No comments:

Post a Comment