Monday, July 13, 2015

KITUO CHA POLISI KUVAMWA WANNE KUFA na SILA KUPORWA.

S ALERT : WATU KADHAA WAUWAWA ,
SILAHA ZAPORWA BAADA YA MAJAMBAZI
KUVAMIA KITUO KIDOGO CHA POLISI CHA
SITAKISHARI , UKONGA, JIJINI DAR ES SALAAM
USIKU HUU
Habari zilizotufikia chumba cha habari zinasema
kwamba watu kadhaa wameuwawa na watu
wanaosadikiwa kuwa ni majambazi , baada ya
kuvamia kituo kidogo cha Polisi cha Sitakishari ,
Ukonga jijini Dar es salaam usiku huu.
Habari ambazo hazijathibitishwa zinasema
kwamba askari polisi kadhaa kituoni hapo pamoja
na raia mmoja wameuwawa. Silaha kadhaa pia
inasemekana zimeporwa na askari wako eneo la
tukio hivi sasa .
Tunaendelea kufuatilia taarifa hii na tutawajuza
maendeleo yake kadri tutapopata fununu zaidi .
Source: roryamaendeleo

No comments:

Post a Comment