Wednesday, July 15, 2015

Umri wa kuolewa Uhispania ni miaka 16.

Umri wa kuolewa Uhispania ni miaka 16

Harusi uhispania
Uhispania imepandisha umri unaoruhusiwa kwa wasichana kuolewa hadi kumi na sita.
Hadi sasa wasichana nchini humo wangeruhusiwa kuolewa wakiwa na miaka kumi na nne bora tu wapate ruhusa ya jaji.
Sheria hiyo mpya sasa inanuiwa kupunguza visa vya udhalilishaji wa watoto nchini humo.

No comments:

Post a Comment