Thursday, July 16, 2015

HOTELI ILIYO JENGWA MLIMANI NA KULIPIWA KILA KITU.

 HOTELI ILIYO JENGWA MLIMANI NA KULIPIWA KILA KITU.

 

Hiki Chumba cha Hoteli kiko juujuu Mlimani, unalipiwa kila kitu utakubali kulala?

ByRORYAMAENDELEO NI NYUMBA YA KISASA ZAIDI KULIKO MENGINE YAKITALI 
YANAYOPATIKANA NCHINI HUMO.

overhead-view-hotel
Mwonekano wa juu ya chumba, kwa chini unaona mto, mashamba na barabara kwa mbalii..
Wako watu ambao kupanda jengo la ghorofa moja tu ni tatizo, unadhani atakubali kirahisi kabisa kulala hapa juujuu?
cliff-hotel
Labda ukiwa hapo utaenjoy zaidi kuona mazingira poa ya nje, Milima iliyozunguka, mto na nyumba za watu.. lakini swali ni hili moja; utakuwa na amani hata ya kupata usingizi?

Karibu sana ndani ya PERU mtu wangu, hiki ni chumba cha Hoteli ya Natural Vive, vyumba viko vingi juu ya Mlima kwenye urefu kama wa futi 400 hivi toka chini, ukilipia Dola yako 1,000 ambayo ni kama Tshs. Milioni 2 zinatosha kukabidhiwa funguo ya chumba chako na utaenjoy siku nzima kuwa hapo juu.
scary-see-through-suspended-pod-hotel-peru-sacred-valley-81

 Karibu sana ndani ya Peru mtu wangu, hiki ni chumba cha Hoteli ya Natural Vive, vyumba viko vingi juu ya Mlima kwenye urefu kama wa futi 400 hivi toka chini, ukilipia Dola yako 1,000 ambayo ni kama Tshs. Milioni 2 zinatosha kukabidhiwa funguo ya chumba chako na utaenjoy siku nzima kuwa hapo juu. 2015-07-12T070439Z_912071196_GF10000156697_RTRMADP_3_MEXICO-GUZMAN - Copy Hapa ni mwonekano wa ndani ya chumba. scary-see-through-suspended-pod-hotel-peru-sacred-valley-81

Hapa ni mwonekano wa ndani ya chumba.
Hiki Chumba cha Hoteli kiko juujuu Mlimani, unalipiwa kila kitu utakubali kulala? By Newsroom TZA on July 16, 2015 67 shares Share Tweet Share Share comments overhead-view-hotel Mwonekano wa juu ya chumba, kwa chini unaona mto, mashamba na barabara kwa mbalii.. Wako watu ambao kupanda jengo la ghorofa moja tu ni tatizo, unadhani atakubali kirahisi kabisa kulala hapa juujuu? cliff-hotel Labda ukiwa hapo utaenjoy zaidi kuona mazingira poa ya nje, Milima iliyozunguka, mto na nyumba za watu.. lakini swali ni hili moja; utakuwa na amani hata ya kupata usingizi? Karibu sana ndani ya Peru mtu wangu, hiki ni chumba cha Hoteli ya Natural Vive, vyumba viko vingi juu ya Mlima kwenye urefu kama wa futi 400 hivi toka chini, ukilipia Dola yako 1,000 ambayo ni kama Tshs. Milioni 2 zinatosha kukabidhiwa funguo ya chumba chako na utaenjoy siku nzima kuwa hapo juu. 2015-07-12T070439Z_912071196_GF10000156697_RTRMADP_3_MEXICO-GUZMAN - Copy Hapa ni mwonekano wa ndani ya chumba. scary-see-through-suspended-pod-hotel-peru-sacred-valley-81
\
KARIBU TENA KATIKA BLOG HII  MPYA ILI KUPATA HABARI MBALIMBALI ZA KILA MAHALI.

No comments:

Post a Comment