Tuesday, July 7, 2015

Joshua Nasari kunusurika kufa Jana kwa ajali.

JOSHUA NASARI ANUSURIKA KWENYE AJALI YA CHOPA
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari
amenusurika kifo baada ya chopa aliyokuwa
amepanda kutembelea jimbo lake kupata hitilafu
ikiwa angani na kupelekea ianguke.
Ajali hiyo imetokea katika kijiji cha Leguruki
ambapo chopa hiyo iliangukia kwenye mti, watu
wote waliokuwemo wamenusurika kwa kupata
majeraha ya kawaida ambapo walipelekwa
Hosptal ya Selian.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa
Mbunge, abiria wengine wawili mmoja
aliyefahamika kwa jina la Eve ambaye ni kiongozi
wa BAWACHA jimboni kaumia mbavu na
mwingine kavunjika mguu.

No comments:

Post a Comment