Tuesday, July 7, 2015

Mugabe kuomba kuolewa na Obama

KAMA OBAMA AUNGA MKONO USHOGA
NITAMSIHI ANIOE – MUGABE
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe. Picha/XINHUA
Na MASHIRIKA
Imepakiwa - Wednesday, July 1 2015 at  13:05
Kwa Mukhtasari
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amekejeli uamuzi wa
Amerika wa kuhalalisha ndoa za jinsia moja katika majimbo
yake yote 50 na kuapa kusafiri hadi Ikulu ya White House
kuomba Rais Barack Obama 'amuoe’

No comments:

Post a Comment