Thursday, July 9, 2015

Rooney kusubiria tukio kwa hamu

ROONEY ANALISUBIRI TUKIO HILI KWA
HAMU KUBWA, ANGALIA UJUMBE
ALIOANDIKA KWENYE TWITTER YAKE
Wayne Rooney na mkewe Coleen
wanatarajia kupata mtoto wao wa
tatu, hii ni kwa mujibu wa Wayne
Rooney mwenyewe.
Rooney ametangaza ujio hu wa
kijacho wake kupitia akaunti yake
ya Twitter jumatano usiku.
"Nina furaha kubwa sana kuwa
mimi na @ColeenRoo tuko njiani
kupata mtoto wetu wa tatu,"
Rooney ali-tweet.
Mtoto wa kwanza wa Rooney
anayejulikana kwa jina la Kai
Wayne Rooney, alizaliwa Novemba
2009, huku Coleen akimleta
mwingine ambaye ni wa kiume
anayejulikana kwa jina la Klay
Anthony Rooney, Mei 2013.

No comments:

Post a Comment